JUMA MWESIGWA AJITOSA UBUNGE KAHAMA MJINI | NEWS PLANET

Tuesday, July 1, 2025

JUMA MWESIGWA AJITOSA UBUNGE KAHAMA MJINI

  NKUMBI       Tuesday, July 1, 2025

 





NA NEEMA NKUMBI-  KAHAMA

Mkurugenzi wa taasisi ya HUHESO Foundation na HUHESO FM, Juma Mwesigwa, Julai 1, 2025 amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea ubunge wa Jimbo la Kahama mjini kupitia chama cha mapinduzi (Ccm).



Fomu hiyo amekabidhiwa leo na katibu wa chama cha mapinduzi wilaya ya Kahama, Andrew Chatwanga ikiwa ni siku ya nne toka fomu hizo kuanza kutolewa


logoblog
Previous
« Prev Post